Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Aliyekuwa Rais wa Marekani, mtangulizi wa Joe Biden ndugu Donald Trump sasa na yeye aachia Mtandao wake kwa jina la Maga Hub Truth social Trump. Mtandao huo ulizinduliwa jana Tarehe 16/02/2022
Trump ambaye alikutana na masaibu ya kufungiwa kwa Baadhi ya Account zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii hivyo alisema atatengeneza mtandao wake ambao wananchi watakuwa huru kuongea.
Kwa sasa Mtandao wa Maga Hub - Truth Social Trump unaendelea kufanya vyema ukiwa na Download zaidi ya 50K katika Duka la vipakuzi la Google kwa Application yake na sasa unaweza kujiunga na mtandao huo na unaweza kumfollow Mtu au mtu kukufollow wewe.
Pia katika Duka la Google application inapatikana kwa jina la Maga Hub - Truth Social Trump