Rasmi Donald Trump akatisha ufadhili kwenye programu za UKIMWI, Malaria na Polio duniani kote. Tanzania tutatoboa?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Serikali ya Marekani chini ya Donald Trump imesitisha ufadhili katika programu mbalimbali za afya ikiwemo HIV, Polio, na Malaria duniani kote.

Kwa mujibu wa gazeti la New York Times, serikali ya Trump imesitisha takribani programu 5,800 zilizokuwa zinafadhaliwa na USAID ikiwa ni pamoja na programu za misaada kwa wakimbizi, matibabu ya kifua kikuu, na chanjo ya polio.

Barua pepe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilieleza kuwa miradi hiyo inasitishwa kwa “maslahi ya serikali ya Marekani.”

Kueleza athari za hatua hii, Dk. Catherine Kyobutungi, Mkurugenzi wa African Population and Health Research Center, aliambia New York Times kuwa, “Watu watakufa lakini hatutajua, kwa sababu hata programu za kuhesabu vifo zimekatwa.”

Wachambuzi wa masuala ya kimataifa wanasema hatua hii ni pigo kwa Marekani yenyewe, kwani USAID ilikuwa nyenzo muhimu ya kuimarisha ushawishi wake duniani.

Wachambuzi wamedokeza kwamba kujitoa kwa Marekani kwenye miradi ya maendeleo na misaada ya kibinadamu kutatoa nafasi kwa China kuchukua nafasi hiyo kwa haraka.

trump unaid.png
===========================================================

The Trump administration has terminated its funding of the joint United Nations program on HIV/Aids, known as UNAids, delivering another devastating blow to the global fight against the disease.

As part of the crackdown on US humanitarian programmes, the Trump administration has terminated several contracts that funded HIV, polio, and malaria programmes in some of the most impoverished communities in Africa.

Under USAID, the Department of State supported a large number of healthcare, educational, cultural, and scientific programmes across the world that have attracted the ire of President Donald Trump and his allies. While some US AID programmes are indeed problematic, such as the funding of pathogen research abroad with little oversight and safeguard, much of the USAID activities were centred around humanitarian causes.

The notice that US funding of UNAids is being cut off is the latest move by the administration to end American involvement in life-saving health and anti-poverty programs around the world. It was issued by Peter Marocco, a Trump loyalist who is spearheading the evisceration of the US overseas aid program through USAid.

Marocco said in a letter to UNAids that its funding was being terminated “for the convenience of the US government”. The action was made “for alignment with agency priorities and national interest”, he said.

The Trump administration’s funding freeze on foreign assistance has already wreaked havoc on HIV treatment programs worldwide. A new UN report has revealed the impact of the cuts on 55 different countries.

Before the funding freeze, the US government was responsible for two-thirds of all international financing for HIV prevention in low- and middle-income countries. Much of it came through the President’s Emergency Plan for Aids Relief (Pepfar) which was founded by George W Bush in 2003 and which has financed about 70% of the global Aids response.

The countries most heavily dependent on financial support from Washington for the fight against HIV/Aids are among the most stricken parts of the planet. They include the Democratic Republic of Congo, Ivory Coast and Haiti.

A study commissioned by the Desmond Tutu HIV Foundation estimates that up to 500,000 people could die in South Africa over the next decade as a result of the US funding cuts. A further half a million new infections might be recorded as a result of USAid grants being stopped to South African health groups.

Source: The Guardian, First Post
 
Inasadikika hivi

Aliyeleta HIV, ndiye aliyebuni pia dawa za kufubaza virusi hivyo yaani, (ARVs) na kuanza kuzitoa bule ili kuwasahaulisha watu waone hali hiyo ni kawaida tu, sasa kajitoa kufadhili mradi huu alioubuni mwenyewe

Hii inamaana ya...... Mpango wa kuwepo virusi vya HIV duniani, ni mpango wa kupunguza watu duniani, na sasa kaona waathirika wamefikia kiwango cha alichokiweka kwenye lengo hilo

Kaamua kukatiza uhai wa watu ili ndoto zake zitimie

Endeleeni kukemea dhambi, labda kuna kizazi kitasalimika na ushetwani wa mtu mweupe...? Yangu macho
 
Serikali ya Rais Donald Trump imeondoa ufadhili kwa Shirika la UNAids, hatua inayoweza kudhoofisha mapambano dhidi ya VVU barani Afrika.

Marekani, mfadhili mkuu wa mpango huu, ilichangia takriban theluthi mbili ya ufadhili wa kimataifa wa kinga dhidi ya VVU, ambapo nchi kama DRC, Côte d’Ivoire na Afrika Kusini ziliutegemea kwa huduma za kinga na tiba.

Afrika Kusini pekee inakabiliwa na hatari ya vifo 500,000 na ongezeko la maambukizi.

Kwa jumla, nchi 55 zimeathirika, huku wataalamu wakihofia kuwa mamilioni ya waathirika wa VVU watakosa matibabu muhimu.

===========================================================

The Trump administration has terminated its funding of the joint United Nations program on HIV/Aids, known as UNAids, delivering another devastating blow to the global fight against the disease.

The notice that US funding of UNAids is being cut off is the latest move by the administration to end American involvement in life-saving health and anti-poverty programs around the world. It was issued by Peter Marocco, a Trump loyalist who is spearheading the evisceration of the US overseas aid program through USAid.

Marocco said in a letter to UNAids that its funding was being terminated “for the convenience of the US government”. The action was made “for alignment with agency priorities and national interest”, he said.

The Trump administration’s funding freeze on foreign assistance has already wreaked havoc on HIV treatment programs worldwide. A new UN report has revealed the impact of the cuts on 55 different countries.

Before the funding freeze, the US government was responsible for two-thirds of all international financing for HIV prevention in low- and middle-income countries. Much of it came through the President’s Emergency Plan for Aids Relief (Pepfar) which was founded by George W Bush in 2003 and which has financed about 70% of the global Aids response.

The countries most heavily dependent on financial support from Washington for the fight against HIV/Aids are among the most stricken parts of the planet. They include the Democratic Republic of Congo, Ivory Coast and Haiti.

A study commissioned by the Desmond Tutu HIV Foundation estimates that up to 500,000 people could die in South Africa over the next decade as a result of the US funding cuts. A further half a million new infections might be recorded as a result of USAid grants being stopped to South African health groups.

Source: The Guardian
Kila mtu atakula aliko peleka mboga.
 
Hizi kauli ndio huwa zinafanya watz tuonakane bado ni apes tupo kwenye evolution kuwa binadamu hapo baadaye! Akili za nyani kabisa hizi
 
Naamini hii inaweza kufungua milango ya kupatikana kwa Tiba ya Ukimwi.
 
Akili za nyani zikusumbue?

Nauliza tu, hapo ulipo wewe, bado unasumbuliwa na akili za nyani?

Huna adabu
Grow upo kijana, hamna ugonjwa uliofanyiwa tafiti nyingi duniani kama UKIMWI katika historia na tafiti za dunia hii so ujinga wako usidhalilishe watanzania wengine kwa hulka za wanyama pori. Kama hujui kaa kimya au uliza uelimishwe. Akili za manyani kabisa kujitoa ubinadamu
 
Back
Top Bottom