Rasmi Donald Trump akatisha ufadhili kwenye programu za UKIMWI, Malaria na Polio duniani kote. Tanzania tutatoboa?

Unafanya kazi WHO? Au UNAIDS?

Imekula kwako mkuu, izoee hali iliyopo

Katibu nyani
 
Sehemu kubwa, ni funzo kwa nchi zingine hasa kwa viongozi tegemezi
 
Duh!

Haya endelea kusadiki tu
 
Matumizi mengi yasiyo na tija mara goli la mama mara kuchangia ujenzi wa kanisa, huku mambo kibao tunategemea msaada kutoka marekani, wamarekani kwa kweli wamehenyeka Sana kutusaidia watu tusiojitambua kama sisi.
 
Baadhi ya wajinga walikuwa wanasema USA ni superpower wa mchongo sasa tunasubiri huyo mchina tuone kama ataweza kudhamini mpambano..
Trump amefanya Jambo la maana Sana kusitisha misaada yote
Yaani utombane ngono zembe uungwe grid ya taifa usubiri China au Marekani zikusaidie njugu za kufubaza makali ya ngwengwe

Hizi ni akili au matope?

Taifa la Tz lina vijana wapumbavu sana
 
Hakuna cha China, Russia wala Iran anayeweza kujaza ombwe inayoachwa na Marekani kwani pamoja na ukweli kwamba nchi hizo bado na zenyewe zina shida tu kama za kwetu, lakini ni ukweli usiopingika ni kwamba hayo mataifa hayaamini katika kumsaidia mtu mwenye viungo na akili timamu.

Hivyo kama tulikuwa tunafikiri China, Russia au Iran wanaweza wakaziba pengo linaloachwa na Marekani basi tunajidanganya sana.
 
Kakatisha lakini si zitakuwa zinauzwa au?
 
Kwa nini Marekani imesimamisha hiyo misaada?
 
Wahuni kujaza condom kwenye makabatinwoi tukielekea HATA condom atazisitishaa huyu hana nia njema na frika loh

Na kama unaenda kavu weka mapema wosiaa..na SEHEMU za kuzikiwa usiwasumbue watu
 
Imani upendo na miujiza
 
Matombo pamekukosea nini kiongozi? Mbona unapadogosha?
Hapana mkuu napaheshimu sana nimetolea mfano tu, hawa vijana wanakera sana kudhalilisha efforts za watu waliopambana kwa miaka dhidi ya hili gonjwa, tulioona jinsi watu walivyoteseka na kufa bila msaada miaka ya 1997, 98, 99 hadi 2003 kabla ya hizi interventions za George Bush hatuwezi kutazama upuuzi wa waganga wa kienyeji unaotamkwa humu!
 
Mpaka miaka 2000 hadi 2004 zilipiga watu sana wakisingizia uchawi na kisukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…