Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Kwa maoni yako hapa Tanzania ni nani alistahili kutunukiwa?.Wenzetu wanathamini sana michango wanayotoa raia wa nchi zao ambayo inaleta sifa kwa taifa ila hapa kwetu jambo linaloweza kukupa sifa tena kwa muda tu ni siasa na siasa zenyewe ni sharti ulambe miguu ya watawala! Bravo Kenya, mmepiga hatua kwenye mambo mengi ambayo sisi hata kujifunza kutambaa bado!
hiyo ni kitu ndogo haihitaji kutangazia ummaKwa maoni yako hapa Tanzania ni nani alistahili kutunukiwa?.
Wenzetu wanathamini sana michango wanayotoa raia wa nchi zao ambayo inaleta sifa kwa taifa ila hapa kwetu jambo linaloweza kukupa sifa tena kwa muda tu ni siasa na siasa zenyewe ni sharti ulambe miguu ya watawala! Bravo Kenya, mmepiga hatua kwenye mambo mengi ambayo sisi hata kujifunza kutambaa bado!
Upumbavu tu, Watu wote wangeruhusu mihemko itawale vichwa vyao leo kungekiwa na kina Prof Christiano Ronaldo, Imagine Prof John Cena, au Dr Diego Maradona,