Rasmi Ibrahim Ajib Migomba atia saini kuitumikia yanga miaka 2

Rasmi Ibrahim Ajib Migomba atia saini kuitumikia yanga miaka 2

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
06ba541a390ba6064da36c4a36bbd1af.jpg
 
Yaani hadi leo saini huwekwa kwa dole gumba? Hebu wahusika jirekebisheni jamani, mnadhalilisha watu
 
Nikiangalia scene za wenzetu pale wachezaji wanaposaini nikilinganisha na hii picha hapa kwakweli ni mbingu na ardhi.Tupo local sana...Angalia background...watu walivyovaa...yani ni kama vile watu wanacheza pool!
 
Karibu dogo! Yanga ni sehemu salama kwa kipaji chako! Wengi wanandoto za kuchezea Yanga, ila wewe umeshatimiza yako!
 
Yaani hadi leo saini huwekwa kwa dole gumba? Hebu wahusika jirekebisheni jamani, mnadhalilisha watu
Pale simba huruhusiwi kuweka kwa dole gumba...

Jamaa wanakosa namna ya kuchakachua mkataba wenye dole gumba.

Si unajua ndio zao hizo!
 
Wanilete fundi mtoto Raphael Daudi Ili roho yangu itulie.....
 
Karibu dogo! Yanga ni sehemu salama kwa kipaji chako! Wengi wanandoto za kuchezea Yanga, ila wewe umeshatimiza yako!
Yanga haijawahi acha kipaji salama!
Alafu hii sio stori mpya mbona. Ilishajulikana na pia inajulkana mpira wa Ajibu ni kama treni iliyoyoka dar sasa imefika Kigoma.
 
Back
Top Bottom