Una muda gani hujawahi kuona watu wakisaini mikataba binafsi? saini za kukoroga zinaweza kufojiwa kirahisi sana ila finger print ni komesha kaziYaani hadi leo saini huwekwa kwa dole gumba? Hebu wahusika jirekebisheni jamani, mnadhalilisha watu
kwani Msajili mkuu wa msimbazi Z Hpp nae yuko lupango?!viongozi wa Simba wako gerezani hakuna wakutusumbua tena.
kwani Msajili mkuu wa msimbazi Z Hpp nae yuko lupango?!
Pale simba huruhusiwi kuweka kwa dole gumba...Yaani hadi leo saini huwekwa kwa dole gumba? Hebu wahusika jirekebisheni jamani, mnadhalilisha watu
Yanga haijawahi acha kipaji salama!Karibu dogo! Yanga ni sehemu salama kwa kipaji chako! Wengi wanandoto za kuchezea Yanga, ila wewe umeshatimiza yako!
Huyo tayari mkuu na jezi yake ni no8 ndiyo kaandaliwa!Wanilete fundi mtoto Raphael Daudi Ili roho yangu itulie.....
Yaani hadi leo saini huwekwa kwa dole gumba? Hebu wahusika jirekebisheni jamani, mnadhalilisha watu