Rasmi Jose Mourinho atambulishwa kuwa kocha wa Fenerbahce

Rasmi Jose Mourinho atambulishwa kuwa kocha wa Fenerbahce

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Zaidi ya mashabiki 1,000 wa Fenerbahce wameshiriki katika mapokezi ya kocha wao mpya, Jose Mourinho wakati akitambuliwa kwenye Uwanja wa Sukru Saracoglu Jijini la Istanbul.

Kocha huyo amerejea katika majukumu hayo ikiwa ni miezi mitano tangu alipofukuzwa katika Klabu ya Roma ya Italia

Baada ya kutambulishwa akiwa na jezi ya Fenerbahce, Mourinho amesema “Hii jezi sasa ni ngozi yangu, ndoto zenu ni ndoto zangu”.

Chanzo: DailyMail

Pia soma: Jose Mourinho kutangazwa kuwa kocha mpya wa Fenerbahce ya Uturuki
 
Cha msingi ni kwamba lazima atawapa kombe haijalishi ni kombe gani ila Kuna kombe atawapa
 
Back
Top Bottom