RASMI: Klabu ya Uingereza ya Chelsea leo imezindua jezi zake za tatu

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Klabu ya mpira wa miguu ya Uingereza, Chelsea FC na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike leo zimetambulisha rasmi jezi mpya za tatu kwa ajili ya msimu wa 2017/18.

Leo usiku tunacheza na Qarabag katika uwanja wetu wa Stamford Bridge ikiwa ni mechi yetu ya kwanza baada ya kurudi kwenye michuano ya EUFA Champions League, na jezi hizi mpya za tatu zitatumika kwa mara ya kwanza wakati tukiitembelea timu ya Atletico Madrid katika mchezo wetu wa pili wa michuano hiyo siku ya tarehe 27 September mwaka huu.

Rangi ya kijivu mkoleo (dark greys) ndio inayotengeneza rangi kuu ya jezi hizo, ikiwa imeongezewa naksi za majificho ndio zinazo kamilisha jezi hizi nzuri za tatu za Chelsea. Pia kuna michirizi ya rangi ya blue bahari ambayo inapita kwenye mabega na mikono.

Kama ilivyo kwa jezi zetu za nyumbani na ugenini, teknologia ya Nike ya AeroSwift technology ndio iliyotumika kutengeneza jezi nzuri kwa ajili ya mabigwa.

chelsea 1.jpg
chelsea 2.jpg

chelsea 3.jpg

chelsea 4.jpg
chelsea 5.jpg
chelsea 6.jpg
chelsea 7.jpg
 
View attachment 586792 View attachment 586793

View attachment 586780

View attachment 586781 View attachment 586782 View attachment 586783 View attachment 586784

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule uzi wao wa blue ndiyo mambo yote, ni mtazamo wangu
 
Jezi mbovu kabisa kama malopolopo, ndio maana haiuzi sana duniani.
 
Hawa nike this year wamezingua, jezi hazina mvuto.
 
Back
Top Bottom