Rasmi kujiunga JamiiForum nikaribisheni

Rasmi kujiunga JamiiForum nikaribisheni

Milak

Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
56
Reaction score
17
Habarini wakuu,

Nina imani kila mmoja anafata taratibu zilizowekwa na wizara ya afya ili kujikinga na gonjwa LA corona.

Leo nimeona ni vizuri kufungua account baada ya kuitumia(jf)bila ya kutumia account yeyote hivyo naomba mnipokee
NI MIMI mìlâk
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
 
Back
Top Bottom