RASMI. Kwa masikitiko makubwa nimeamua kujiondoa simba

πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
Utaua watu kwa Presha mkuu.
 
Njoo Arsenal fc a.k.a watoto wa London, hautojutia mwaka huu
Niliipenda sana timu yangu hii, lakini kutokana na mambo yanayofanya na baadhi
ya Viongozi nimeamua kujiondoa Simba. Ni mimi Mzee wa Kurekebisha wa hapa
Jamii Forums, nawaachia timu kina MO.
 
Umefanya vyema Mkuu,ni bora ukajikita huku
 
wewe ni mzee wa wakurekebisha sasa hapa unarekebisha nini hapa mkuu?
Niliipenda sana timu yangu hii, lakini kutokana na mambo yanayofanya na baadhi
ya Viongozi nimeamua kujiondoa Simba. Ni mimi Mzee wa Kurekebisha wa hapa
Jamii Forums, nawaachia timu kina MO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…