Rasmi leo 26/04/2025 naachana na kamari (betting)

Weee bwana hujui kubet...mbona sie tunakula mbususu za warembo kupitia mkekaz...kila wikend tunaenjoy mbususu za warembo.

Bro kama hela ya mawazo avhana na kubet unaweka mechi 20. Weka mechintatu weka 1mil bana pumbu wikend unaenjoy na mshangaz
 
Baada ya siku 2 kama nakuona unavyochungulia tena mikeka na kujipa moyo this time unatoboa😄
 
Cheza tu mwamba maisha ndiko yalipo
 
Lazima uliwe tu,unaweka Timu 10 au 15 au 20 wenyewe mnaita Treni unategemea utakulaje?na hapo Timu moja unaipa uhakika kwamba itashinda hivyo unaiweka kwenye mikeka yako yote 10 as if mpira unacheza wewe,unategemea utakulaje?najua jana wengi waliipa Al Ahly na PSG ushindi na kilichowakuta kinajulikana😀
 
Mwindi yake ni 1. Unamwinda 5 yeye anakuwinda 1.
Kwa wale mnaojua mchezo wa korokoro. Kete ya korokoro ina sura ngapi? Jibu ni 6. Kwenye ile meza kuna picha ngapi? Jibu ni 6. Kete ya korokoro ikichezeshwa, inatoa sura ngapi? jibu ni moja.
Hivyo basi, kwenye kila mchezo wako m1 una nafasi 5 za kupoteza. Na una nafasi 1 tu ya kupata..
Kuacha kufanya betting ni uamuzi mzuri. Na kwa wale ambao hamtaki kuacha nidhamu ni jambo muhimu kabisa.
Odds 1.50-2 ndio usalama wako. Zaidi ya hapo fimbo zitaendelea.
 
Unakubali vipi kuacha wakati pesa zako hazijarudi ,tafuta 1M weka huko kwenye kampuni kila siku tafuta odd1.11 hapo unauhakika wakula 90k then pesa yako ikirudi futa app zote hizo za betting
Mwanaume hakimbii vita,,mimi niliwahi kumsachi mwaka 2023 akatema mzigo wa maana nikajenga nyumba nikanunua na harrier sina deni nae,,kitu ambacho katika utumishi wangu vilikua ni impossible mpaka naondoka duniani kwani mfumo wa TGS sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…