Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
🚨Ni rasmi Kuwa CAF wamekataa ombi la simba kucheza saa 10 jioni mechi yao dhidi ya Raja Casablanca,na Badala yake mchezo utakua saa 1 usiku,hii ni kutokana na CAF kumiliki hatimiliki katika hatua ya makundi.sasa itakuwaje majameni