Rasmi Mchezo wa Simba vs Raja Casablanca Kupigwa saa 1 usiku

Mechi ikichezwa usiku simba hatoboi

Jua la saa 10 lilikuwa linawatesa sana waarabu

Mwarabu umuweke usiku kwenye mataa na kaupepooo katamu halafu utegemee utatoboa
 
Mkuu hata wacheze saa nne ama nane usiku mwarabu atakamuliwa sharubu kwa mkapa.
 
Mechi ikichezwa usiku simba hatoboi

Jua la saa 10 lilikuwa linawatesa sana waarabu

Mwarabu umuweke usiku kwenye mataa na kaupepooo katamu halafu utegemee utatoboa
Mbona kwao ndo kuna joto zaid inakuaje liwatese
 
CAF wapuuzi sanaa iweje Pyramid wamecheza saa 9 ya usiku kwa saa za egupt ? Chama kimejawa na rushwa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ