kabisa mkuu life lenyewe kamariMimi mwaka wa 6 huu na sitaacha hadi nife maana maisha yenyewe kamari
Sent using Jamii Forums mobile app
duuh mechi za leo zimechanika kisenge yani huko England mambo si shwari timu ndogo zimewakazia wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ushabiki wangu wa mpira,betting sijawahi kabisa jaribu.Gambling is a hell of a drug...unaambiwa hata kokeini cha mtoto...[emoji16][emoji16][emoji16]