Rasmi: Nabaki na Barca, Man U sio timu kubwa tena

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Nilikua nimshabiki mkubwa sana wa Manchelona.. yaani Man U na Barca.

Ila kwa sasa Man U naitoa, ni underdog tuu, imezidiwa hadi na Spurs, haiwezekani eti Crystal Palace na Man U ni big match..

Man U ni timu mbovu sana ndani ya England..

Nabaki na Barca rasmi
 
Aah aah aah!
 
Chelsea pekee ndiyo timu kubwa iliyobakia na Wazee wa mahaba niue kama Arsenane, sing'oki ng'oo japo najiandaa kukaa nafasi ya 15-17 msimu huu [emoji23]
 
Man u haapo serious kisa wameona mount anafanya vizur, Leo nikawaona wamemtoa lingard wameweka sijui ndo Greenwood,, tuacheni utani man u haina kikosi cha kushindana walimbahatisha Chelsea wakati lampard bado anawenge,, Naamin match ya Chelsea vs man u ikirudiwa hata leo man u anakufa vizur tuu ..
hakuna timu pale
 
haiwezekani eti crystal palace na man u ni big match.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shenzi nilisema mlitubahatisha lkn timu nyie hamna pale.
 
Wewe sio shabiki aisee
Juzi Barca nao wametoka kupigwa na kitimu cha ajabu.....kwahiyo utakuwa ni mtu wa kuhamahama?
 
Wewe sio shabiki aisee
Juzi Barca nao wametoka kupigwa na kitimu cha ajabu.....kwahiyo utakuwa ni mtu wa kuhamahama?
hata baka iwe mbovu vipi, haiwezi kua kama man u... halafu mimi ni barca kitambo. soma post vizur
 
Mkuu, mbona umechelewa hivo? Karibu sana japo na sie sasa hivi tuna tatizo la kocha na bodi ya klabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…