Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Wandugu salamu,
Katika hali ya kushangaza Ngongo apewa jina katika mtaa anaoishi.
Ujumbe wa Mwenyekiti na Katibu Kata wa Kata yetu leo umenipatia heshima kubwa sana.Mtaa wetu umepewa heshima ya kuitwa jina langu.Wanachi wengi walipewa fursa ya kutoa au kupendekeza majina ya mitaa walipendekeza jina langu kwa kauli moja.
Ifahamike Ngongo si mwanasiasa wala kiongozi wa taasisi yoyote.Wananchi wengi walipendekeza jina langu kwasababu.
Ngongo si mbinafsi.
Ngongo si mdini
Ngongo si mkabila
Ngongo ni mtu wa watu wote.
Ngongo anashiriki na kushirikiana na jamii yote bila ubaguzi wa kidini,kabila au ukanda.
Kwakuwa wananchi wameniheshimisha nimeamua kuweka taa za Solar mtaa wote.Zoezi hilo litaanza na kumalizika kabla ya mwisho wa mwezi August 2022.
Habari hizi ziwafikie Mohamed Said Mshana Jr zumbemkuu