Rasmi: ni Simba sc vs Jwaneng galaxy football club

Mkuu, naomba ufafanuzi. Tunajua kuwa kuna timu mbili zilikuwa zinakutana,michezo miwili, mshindi wa jumla ndiye atakutana na Simba .Sasa huyu, imekuwaje?
 
Huo urasmi umetoka wapi? Wamecheza mechi ya marudiano?
 
Mkuu, naomba ufafanuzi. Tunajua kuwa kuna timu mbili zilikuwa zinakutana,michezo miwili, mshindi wa jumla ndiye atakutana na Simba .Sasa huyu, imekuwaje?
Hao Galaxy mechi ya kwanza walicheza na Diplomates wakashinda nyumbani 2-0 ,Leo wakiwa ugenini walifungwa 1-0 kwahiyo wamepita kwa aggregate ,washamaliza mechi yao ya marudiano leo.
 
Simba kwisha habari yake, hii timu zaidi ya playstation.
 
Yanga wakisha tolewa kwenye michuano ya klabu bingwa jpili, alafu waanze utopolo wao wa kuwapokea wapinzani wa simba aisee! ntawashusha thamani sana hawa mbuzi ..
Hutataki mtoke hatua hii,tunataka makundi ili mkalie za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…