kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Simba kwisha habari yake, hii timu zaidi ya playstation.
Kama ni wataalamu wa mpira basi hao ni wageni wazuri.Simba ukija unacheza mpira ndio furaha yake.Huwa inafungwa na vitimu vidogo vinavyoikamia na huwa havichezi mpira zaidi ya kujaribu kuumiza wachezaji.
Mechi ya kwanza walishinda 2-0 wakiwa nyumbani leo wamepgwa 1-0 wakiwa Afrika ya kati wamepita kwa aggregateMkuu, naomba ufafanuzi. Tunajua kuwa kuna timu mbili zilikuwa zinakutana,michezo miwili, mshindi wa jumla ndiye atakutana na Simba .Sasa huyu, imekuwaje?
unaimia vipi na yanga nyie si mlishangilia gor la rivers subir nyakati yenu ndo mtajia hamjuiYanga wakisha tolewa kwenye michuano ya klabu bingwa jpili, alafu waanze utopolo wao wa kuwapokea wapinzani wa simba aisee! ntawashusha thamani sana hawa mbuzi ..
itakua aibu kubwa sana kwenu, hakuna hata shabiki mmoja wa Simba aliyewapokea rivers united na wakatu furahisha, nyie mmewapokea mpaka basi na wote tumewachapa .. [emoji23][emoji23]unaimia vipi na yanga nyie si mlishangilia gor la rivers subir nyakati yenu ndo mtajia hamjui
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]Utopolo inabidi makao makuu yahamie kipawa......
Ili iwe rahisi kuwapokea wachezaji na wageni.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Lucy alikuwa sahihiRage hakukosea.
Pesa nzuri tu.....Ukiingia makundi unalipwa shingapi vile?
Ukiingia makundi unalipwa shingapi vile?
Na sie tunaohitimisha safari tarehe 19 tunapewa shingapiView attachment 1942886
Mkeka ni kama unavyosoma hapo juu.
Dolari za kimarekani 550,000 sawa na takribani bilioni 1.2 za Tanzania.
Vist kilimanjaro na karafuuNa sie tunaohitimisha safari tarehe 19 tunapewa shingapi
Jwaneng Galaxy Football Club, ni team ambayo itacheza na Simba katika michuano ya club bingwa Africa.
Ni team mpya ndio kwanza inamiaka 6 tu( imeanzishwa 2015), kutoka huko BOTSWANA.
Vipi mwana JF unaionaje hii team, na ipi nafasi ya simba kuelekea makundi ya klabu bingwa.
NB: Simba hatudharau mechi, kipimo anachopimiwa Al Ahly ndicho hicho hicho watakachopimiwa hawa vijana wa kiswana.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile ap
Huu mchezo unaweza kuwa mgumu sanaJwaneng Galaxy Football Club, ni team ambayo itacheza na Simba katika michuano ya club bingwa Africa.
Ni team mpya ndio kwanza inamiaka 6 tu( imeanzishwa 2015), kutoka huko BOTSWANA.
Vipi mwana JF unaionaje hii team, na ipi nafasi ya simba kuelekea makundi ya klabu bingwa.
NB: Simba hatudharau mechi, kipimo anachopimiwa Al Ahly ndicho hicho hicho watakachopimiwa hawa vijana wa kiswana.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Mtapanda ndege.......Na sie tunaohitimisha safari tarehe 19 tunapewa shingapi
Utakuwa mgumuHuu mche
Huu mchezo unaweza kuwa mgumu sana
AmenAmen Mungu atubariki tuvuke tufike Makundi na zaidi
Mnyama akienda kwa kujiamini, kuwa amekutana na timu dhaifu ,atarudi shingo ipo chini,yasijirudie ya Ud Songo.[emoji881][emoji881][emoji881][emoji123][emoji123][emoji123] mojAahh wapii. hapo ganda la ndizi