Rasmi Nimeingia, hodii!

SicheKi

Member
Joined
May 10, 2012
Posts
17
Reaction score
4
Habari zenu wakuu. Kwa muda sasa nimekuwa ''mchunguliaji" kwenye hili jukwaa na sasa nimeona ni muda muafaka wa mimi kuingia humu ndani. Wakuu wote naombeni mnikaribishe
 
Usisahau kuchangia JF, mkono mtupu haulambwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…