Kitendo Cha Westham kumsajili jana Said Benrahma kutoka Brentford fc kwa mkopo kimenivutia Sana nakuanzia sasa HIV nitakuwa mfuatiliaji mzuri wa Westham.
Huyu mwamba (Said Brentford) nilikuwa Ni fan wangu mkubwa nilikuwa naifuatilia Brentford team ya daraja la Kwanza la uingereza kwasababu ya Huyu mwamba.Kitu ambacho kinanivutia kutoka kwake Ni style play yake jamaa anacheza Kama Hazard alafu anaudambwi udambwi Kama Ronaldinho alafu anafunga magoals.
Jamaa anacheza nafasi ya Winga wa kushoto at the same time kwenye mechi Hiyo hiyo akawa no 10 (Kiungo mshambuliaji) kiufupi Hana utofauti na Eden Hazard, kitu ambacho kilikuwa kinanishangaza kwanini huyu mwamba anacheza ligi daraja la Kwanza la uingereza wakati ana uwezo mkubwa Sana?Mwamba yupo Brentford lingerd yupo Man u π€£π€£
Namshukuru Mungu kilio changu kakisikia na sasa huyu mwamba yupo Premier league.Ukitoa team yangu ya Chelsea team nitakuwa naifuatilia Ni Westham.