Rasmi:Okwi ni mali ya Simba SC

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,347
Reaction score
1,828
Simba wanafanya kimya kimya ili waje kutangaza surprise ila kaingia Jana usiku

Muda mfupi uliopita Okwi amesaini kandarasi ya kuitumikia Simba kwa miaka miwili.Hongera Simba SC.

Okwi nenda,okwi rudi huyu kaja kula pesheni aseee
 
Okwi bado yupo vizuri atasumbua kibongo bongo
 
Kwikwi kwikwi, Amekuja na yeboyebo au mimi ndiye sioni vyema
 
Huyo hata kiwango kikishuka, ilimradi tu awepo uwanjani.....maana kuna timu fulani wanapenda sana kutembeza bakuli wakisikia hilo jina wanaanza kutetemeka!
 
Gongo wazi fc wakisika jina OKWI wanatetemeka
 
Tanzania imekuwa kiwanda cha wastaafu?

Emmanuel Arnold Okwi is a Ugandan professional football player who plays as a striker for the Uganda national football team. He played football as a boy while at St. Henry's College Kitovu. wikipedia.org

  • Born: December 25, 1992 (age 24), Kampala
  • Nationality: Ugandan
  • Height: 5'9" (1.76m)
 
Afrika bado tuna kazi kubwa katika udanganyifu. Okwi ameanza kucheza ligi kuu kwa 2009 na kaja Simba 2010 akionekana kijeba kabisa. Ina maana alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka 17?
 
Afrika bado tuna kazi kubwa katika udanganyifu. Okwi ameanza kucheza ligi kuu kwa 2009 na kaja Simba 2010 akionekana kijeba kabisa. Ina maana alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka 17?
Ingawa mimi ni mwanachama wa Simba lakini siafiki kabisa usajili wa Okwi. Ana kipi kipya? Ameshachoka na kitabia ana usumbufu sana. Kwa ujumla huu ni mzigo tunaotaka kujitwisha
 
Ingawa mimi ni mwanachama wa Simba lakini siafiki kabisa usajili wa Okwi. Ana kipi kipya? Ameshachoka na kitabia ana usumbufu sana. Kwa ujumla huu ni mzigo tunaotaka kujitwisha
Bora Okwi kuliko Blagnoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…