Rasmi:Okwi ni mali ya Simba SC

Afrika bado tuna kazi kubwa katika udanganyifu. Okwi ameanza kucheza ligi kuu kwa 2009 na kaja Simba 2010 akionekana kijeba kabisa. Ina maana alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka 17?


Hata Mbappe mwongo kwa umri wake hawezi kuwa na miaka 18
 
Gongowazi bhana.. Mchezaji ni wetu pilipili ya nini?
 
Okwi nimemtazama akicheza ligi ya uganda,bado yuko vizuri sana.
 
Mashabiki wameshasahaulishwa habari za rufaa Fifa
 
Simba wanafanya kimya kimya ili waje kutangaza surprise ila kaingia Jana usiku

Kuna Watu nina uhakika kwa ujio huu tu tayari Chupi zinawapwelepweta na si ajabu hata zimeshaloana kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…