Rufaa badoAshakuwa babu huyo simba stress za ubingwa zinawafanya wajisajilie ovyo ovyo tu. Kwanza ile rufaa vipi FIFA siku zinaenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SSC are confused. Wamemwona lini akicheza na kutathmini kiwango chake? Angekuwa kwenye kiwango si angeitwa timu ya taifa Uganda? Lakini hayumo. Huko Ulaya alikuwa timu daraja la chini kabisa na ameondoka kwa kukosa namba. Leo SSC wanamchukua! Kuna umakini hapo?Muda mfupi uliopita Okwi amesaini kandarasi ya kuitumikia Simba kwa miaka miwili.Hongera Simba fc.
Kwa kiwango cha mpira wa bongo okwi bado anacheza tena huenda akasumbua sana.Suala la kuitwa au kutokuitwa kwenye timu ya taifa silipi nafasi sana mana hua inategemea na kocha husika anamchukuliaje japo na kiwango cha mchezaji pia kinamata katika kupick timu.Tusubiri muda ndio utaongea vizuri ila kwa mtazamo wangu okwi bado anaweza kucheza bongoSSC are confused. Wamemwona lini akicheza na kutathmini kiwango chake? Angekuwa kwenye kiwango si angeitwa timu ya taifa Uganda? Lakini hayumo. Huko Ulaya alikuwa timu daraja la chini kabisa na ameondoka kwa kukosa namba. Leo SSC wanamchukua! Kuna umakini hapo?