Rasmi sasa: Binadamu wa kwanza duniani aliishi Tanzania

Safi, kumbe Adam na Hawa ni wananchi na wazaliwa wa Tanzania. Kuanzia sasa sisi ndio inabidi tuwe Taifa teule
Itakuwa black mamba ndo alimdanganya hawa akawa tunda pale serengeti
 
magharibi unawajua wewe? hayo ni matusi!

binadamu wa kwakuwa alikuwa nyani basi atakuwa alitokea kwa manyani wenzake wa africa

tena Tanzania wanachoomaanisha hapo mazingira yetu yanambadirisha binadamu taratibu sana kutoka unyani kwenda ubinadamu kamili ndio maana mpaka sasa hatujafikia kiwango chao cha ubinadam
 
Itakuwa black mamba ndo alimdanganya hawa akawa tunda pale serengeti
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haina haja ya kushangaa Kwani ni wao walosema asili ya binadamu ni nyani so wanakopatikana nyani ndio huko alikotokea binadamu wa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…