Ndo walivyo amua mechi itachezwa moja tu matokeo ya mechi zote mbili za awali yamefutwa.Esperance wamegoma hiyo mechi haiwezi kurudiwa kwa sababu first leg haikuchezwa neutral ground wanaenda mahakamani.
au CAF wairudie mechi moja tu wafute matokeo ya awali yote
Hii ndo safi sana,sijui kwa nini uwa kuna fainali mbili! Inashawishi kupanga matokeoNdo walivyo amua mechi itachezwa moja tu matokeo ya mechi zote mbili za awali yamefutwa.
Esperance wamegoma hiyo mechi haiwezi kurudiwa kwa sababu first leg haikuchezwa neutral ground wanaenda mahakamani.
au CAF wairudie mechi moja tu wafute matokeo ya awali yote
Kabisa, Afrika Kusini hawajui upendeleo ukichunguza ingawa changamoto ni kale kaubaguzi dhidi ya waafrika wenzaoYaani inabidi FIFA ndiyo isimamie hii michuano ya CAF halafu ofisi za makao makuu ya shirikisho ya mpira Afrika, CAF wahamie Afrika ya Kusini maana huko Misri huwa inaonekana wanapanga matokeo.
Kweli kabisa, hata mpango wa kucheza mechi mbili za fainali ni mbinu za kuwabeba waarabuYaani inabidi FIFA ndiyo isimamie hii michuano ya CAF halafu ofisi za makao makuu ya shirikisho ya mpira Afrika, CAF wahamie Afrika ya Kusini maana huko Misri huwa inaonekana wanapanga matokeo.
Ukweli ndio huo mkuuSawa Ulaya ndio kuna watu huku ni nyani tu