Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
You can imagine, wamejaa hapa wanajifanya wahaya, kumbe wametoka huko, janja janja mingi.Hawa wapuuzi wamechinjana sana.. sisi tumewatunza kama wakimbizi miaka mingi..
Ila wao corona kidogo tu wanatubagua.. na hapo hapo utakuta hawawazuii wachina kuingia rwanda au waitaliano
Kazi yako ni kumfatilia tu?Hivi wewe jamaa unayo kazi nyingine ya kufanya au umeajiriwa kudili na jf humu?
Ana "deal" vipi na JF wakati yeye mwenyewe akiwa ndani ya JF??Hivi wewe jamaa unayo kazi nyingine ya kufanya au umeajiriwa kudili na jf humu?
Tuliza mpira kijana.Hawa wapuuzi wamechinjana sana.. sisi tumewatunza kama wakimbizi miaka mingi..
Ila wao corona kidogo tu wanatubagua.. na hapo hapo utakuta hawawazuii wachina kuingia rwanda au waitaliano
Nadhani kuna makabidhiano ya mzigo pia.Hapo napata mashaka je mzigo ujipote au gari kuharibika nani atakuwa responsible ku cover hizo garama.
Pili itachukuwa mda gani gari ya huyo davo kurejea boda aliko achwa
Hapo napata mashaka je mzigo ujipote au gari kuharibika nani atakuwa responsible ku cover hizo garama.
Pili itachukuwa mda gani gari ya huyo davo kurejea boda aliko achwa
πππ basi waanzishe dry port hapo , ukifika mzigo hapo tunashusha unakuwa jukumu Leo, nao wakileta huku, wakifika hapo ni jukumu letuHapo napata mashaka je mzigo ujipote au gari kuharibika nani atakuwa responsible ku cover hizo garama.
Pili itachukuwa mda gani gari ya huyo davo kurejea boda aliko achwa