Rasmi sasa Madereva wa malori wa Tanzania wanaishia mpakani, magari yanapulizwa dawa anachukua dereva wa Rwanda. Hatuaminiki tena

Hapo napata mashaka je mzigo ujipote au gari kuharibika nani atakuwa responsible ku cover hizo garama.
Pili itachukuwa mda gani gari ya huyo davo kurejea boda aliko achwa
Mtajijua wenyewe kwani wamewalazimisha muwapekekee hiyo mizigo? Kubangaiza kwenu ndo kwa kulaumiwa
 
Kuna tahira mmoja nilimsikia jana akisema "tusipojifungia wenyewe, watatufungia wao "
 
tuendako kila kinachotoka bongo kwenda nje kitapuliziwa

siyo dalili nzuri
 
Hivi mnajua maana ya kuifunga mipaka?? Hata hiyo huruma ya kukuvushia huo mzigo wako nadhani ni ubinadamu tosha kabisa. Waagizaji walitakiwa wajue kuwa, mzigo wake utabakia Dar au Tangah hadi ili gonjwa lipite[i so msipige kelele.
 
Hivi mnajua maana ya kuifunga mipaka?? Hata hiyo huruma ya kukuvushia huo mzigo wako nadhani ni ubinadamu tosha kabisa. Waagizaji walitakiwa wajue kuwa, mzigo wake utabakia Dar au Tangah hadi ili gonjwa lipite[i so msipige kelele.
kwani ni sisi tunapeleka mizigo mnadani au ni wao wanaagiza!!!

katika hili naona hawa marais wengine wanajifaragua kama watoto wa kike.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana...

Wale binadamu wabishi wa siku hizi watakuja kusema wametumwa na wapinzani...



Cc: mahondaw
 
Hii ndio common plan for our truck drivers - tweet ya museveni

had a very long discussion with H.E Uhuru Kenyatta and H.E @PaulKagame regarding truck drivers. I also talked to H.E
@MagufuliJP on a slightly different subject. However, President Kenyatta and President Kagame agreed that we can have a common plan for truck drivers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…