political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Kama kichwa kinavyosomeka, FIFA wapo kwenye presha kubwa ya kuipokonya Iran nafasi yake ya kushiriki World Cup na kuipa Ukraine. Kama ili jambo litafanikiwa basi itakuwa dhairi siasa zitaingia rasmi kwenye soka.