Rasmi, siasa inakwenda kuingia kwenye mpira wa miguu

Sidhani kama wataweza maana itatokea mtafaruku mkubwa na kuharibu ladha ya mashindano.
Kwenye mechi ya kufuzu world cup kati ya Ukraine na Wales walivyofuzu bale alishangilia sana kuulizwa kwanini unashangilia ivyo wakati wenzako wako kwenye majonzi ya vita akawajibu kuwa huu ni mpira siyo vita amna kuoneana huruma apa.
 
Siasa imeshaingia kwenye mpira tayari baada ya serikali ya England kuingilia issue ya umiliki wa club ya Chelsea mpaka kupelekea kufunga acc zao za Benki,

Ikabidi Roman Abromovich mmiliki wa Chelsea kuinusuru Club kwa kuiuza,

Siasa zao kuingilia mpira wao ni kawaida ila wasifanye wengine,Double standard.
 
Hayo mambo yameshafanywa mataifa mengi tu. Na timu zao tunazishabikia na kuzishangilia.
Acheni kuwa wajinga, alichokifanya urus ni kile kilichofanywa na wakoloni karune ya 18 kuivamia Afrika. Sasa Kama Kuna mtu anafurahia upumbavu huo ajue kabisa mataifa ya kiafrika yatapata pigo kubwa maana sisi ni wanyonge. Ipo siku yatavamiwa halafu muanze kulalamika wazungu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…