Rasmi, siasa inakwenda kuingia kwenye mpira wa miguu

Iran Kama anapeleka silaha kuua raia wasiyo na hatia.... Hakuna kuintataine ujinga. Unaweza vipi kuruhusu wimbo wa taifa la Iran upigwe?
Lakini unaruhusu wimbo wa USA upigwe sio? Au walio uawa Iraq na Libya sio watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…