Rasmi: Simba kucheza na Sevila May 23,2019

Rasmi: Simba kucheza na Sevila May 23,2019

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
58578356_657970041314406_1080015710362533888_n.jpg

Sasa ni rasmi bingwa wa nchi,mwanarobo fainali CAF Champions, timu tishio Afrika Simba SC atacheza na Sevila tarehe 23 May 2019.

Game hii ni kwa hisani ya Sportspesa mdhamini mkuu wa Simba na Yanga
 
Duuuh kumbe sevilla watakaa sana bongo
 
Yanga tunavunja mkataba na Sportspesa. . Ili watambue sisi ndio wananchi. . Na wanao bet wote wa Yanga. marufuku kutumia hii kampuni. . Cavalry Holdings ya Rostam inatambulishwa Serena 11/5 hakupendi Dharau
 
Hongereni
 
simba mtachezea kichapo cha mbwa koko 0-12
 
Back
Top Bottom