RASMI: Simba yamtangaza Mfaransa Didier Gomes da Rosa kuwa kocha wake mpya

Karibu sana Tanzania kwenye mashabiki wasio na uvumilivu wenye kelele nyingi na wasio na taaruma ya ufundisha ila ni makocha wazuri wa kukupangia vikosi.
 
Licha ya kutokuwa na Mafanikio makubwa pia Didier Gomes Da Rosa ni Kiguru na Njia muda wote anasepa. Simba SC Tafuteni kocha mwingine!
 
Huyo ndo walisema haijawahi kutokea afrika? 😀
 
Soma ili uelewee napia coach anaajiliwa ili afukuzweView attachment 1684923
pole sana bro NJAA KALI HATARI MZEE WA FACTS NI HIVI...alitoka france kazi yake ya kwanza rwanda kaanz akwa dollar 3000 per month akilenga kupata mafanikio,,ka apply simba hataki maisha ya sudan kabisa el merreikh waliambiwa jamaa anaenda tunisia ukiingia facebook wanatukana tu kwa nini kaja tanzania kwa kifupi UTO pambaneni na hali yenu
 
Kuna jinga moja shabiki la Uto nimelitumia hii habari ya kocha mpya wa Simba timu kubwa na bora kwa Africa,na linyewe likanitumia hii picha[emoji116]View attachment 1685044

Mashabiki wa Yanga wanamambo ya ajabu sana.
Mbona siku zote wanamwita ramani ya Afrika shida iko wapi? Mengine utani tu, hukumbuki tulivyomsema yule Msenegal aliyetunguka mpaka viongozi wa soka hapa nchini wakaomba msamaha.
 
Safari ya huyu kocha inakufa baada ya Simba kushindwa kuvuka hatua ya makundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…