Rasmi timu 15 ligi kuu kuvaa nembo ya GSM

Rasmi timu 15 ligi kuu kuvaa nembo ya GSM

Mfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado tff na bodi ya ligi hawajapata mgawanyo bado serikali pesa ni chache sana
 
Bado tff na bodi ya ligi hawajapata mgawanyo bado serikali pesa ni chache sana
kwanza TAKUKURU ingekuwa makini ingechunguza mikataba yote ya TFF siyo na GSM tu hadi na TBC , haiwezekani TBC wamechukua mkataba wa kurusha matangazo yote ya radio halafu hawatangazaji mechi zote huku wamechukua hati miliki
 
Timu isiyovaa nembo ya mdhamini italipa faini ya m 10 kwa kila match itakayogoma kuvaa kwa match 3,baada ya hapo kama itaendelea kugoma itashushwa daraja,tunajua leo mmeleta kisingizio cha kuumwa baada ya bodi ya ligi kugoma kuyaondoa mabango ya mdhamini kule kagera mkaona mzushe mnaumwa,tunawasubiri game ijayo mtasingizia nini
una utoto mwingi.
 
Ingefaa ungeandika mdhamini mkuu!
Kanuni za ligi zinataja hivyo, GSM ni mdhamini mwenza!
Simba isipovaa nembo ya NBC ndio inaweza kuchukuliwa hizo hatua!
Siyo huyo mdhamini uchwara anayetaka kuuharibu mpira!
Simba ina watu smart sana kwenye masuala ya sheria na kanuni, siyo wale uchwara wa utopolo waliobagwa kule CAS.
 
Kichwa kimejaa mavi
Timu isiyovaa nembo ya mdhamini italipa faini ya m 10 kwa kila match itakayogoma kuvaa kwa match 3,baada ya hapo kama itaendelea kugoma itashushwa daraja,tunajua leo mmeleta kisingizio cha kuumwa baada ya bodi ya ligi kugoma kuyaondoa mabango ya mdhamini kule kagera mkaona mzushe mnaumwa,tunawasubiri game ijayo mtasingizia nini
 
Nadhani KCB hawakuegemea upande wowote, hakukuwa na mgongano wa maslahi baina ya timu na timu au/mwekezaji mmoja na mwingine.

We hujiulizi kwanini Azam TV anatoa mpunga mkubwa tu na Azam Fc inashiriki League hii hii lakini hapigiwi kelele!?

Unakumbuka Patrice Motsepe owner na Aliyekuwa Rais wa Mamelodi Sundown alipotaka kugombea U-Rais wa CAF aliambiwa kitu gani!?

Akili kumkichwa.
Kwani hata huko GSM ni nani mwenye malalamiko ukitoa Kolo na vibaraka wake!! Yaani leo hii mtu anataka kuaminisha watu kwamba cheo cha MJUMBE wa Kamati ya Mashindano (Hersi Saidi) ana maslahi zaidi kwa klabu (ya Yanga) lakini Mwenyekiti wa Bodi ya Klabu (Azam FC) hana maslahi kwa Azam FC?!

Yaani, udhamini wa GSM una mgongano wa maslahi kwa sababu bosi wake mmoja, tena mpita njia tu, ni Mjumbe wa Kamati ya Yanga lakini udhamini wa Azam Media hauna mgongano wa maslahi pamoja na kwamba Mtoto wa Mmiliki wa Azam, Media ni Mwenyekiti wa Bodi ya Azam FC! Inaingia akilini hiyo?! Kwa mfano GSM angekuwa ndo Mdhamini Mkuu wa Coastal Union, halafu yule Hersi anakuwa Mwenyekiti wa Coastal Union (let alone Mjumbe), halafu GSM wanatoa udhamini kama ulivyo hivi sasa kwa ligi yetu; hivi unaamini Makolo wangegoma?!
 
Screenshot_20211218-182140_Instagram.jpg
 
Mfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo milioni 300 si anatoa kwa timu moja kwani anatoa kwa timu 16?

GSM ametoa bilioni 2 tofaut ya milion 300 ya mdhamin mkuu

KCB ilitoa hela ndogo sana usifananishe na GSM.

SIMBA watavaa tu hiyo logo ya GSM ni suala la muda tu
 
Mfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ajabu nin bingwa wa Vodacom premier alikua anapewa million 80 kuwa mfuatiliaji wa vitu
 
Mfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chizi wewe na tumu yako ya Simba msiojielewa haiwezekana timu 15 kati ya timu 16 zikubali kasoro timu moja tu ya Simba.Hapo machezi Simba wasiojua umuhimu na faida ya Udhamini wa GSM.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mbona leo Azam fc hawajavaa nembo ya GSM inakuwaje hapo
 
Simba imekuwa timu ya mipasho labda sababu ya CEO wetu Barbara!

Taarab FC, Mipasho FC, Simba Queens FC, Lialia FC
Makolo viongozi wao wote walipaswa waongoze marede but sio soka,yule mwenyekiti wao na ceo wa kolo copyright na mwijaku
 
Back
Top Bottom