Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi hata AzamKwenye kikao kilichofanyika kati ya bodi ya ligi na vilabu 15 vya ligi kuu vimeafiki kuvaa nembo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu GSM .
Kwa maana hiyo Simba tu haitavaa hiyo nembo na pia mabango ya GSM hayatatikiwa kwenye mechi za Simba.
Hii ligi nayo kachumbali zimekuwa nyingi,mbona waliokuwa wakitoa pesa misimu kadhaa kama KCB walikuwa hawapati mambo kama haya au mikataba yao inakuwa na melezo tofauti kulingana na dau?
Tofauti ya NBC na GSM kwenye udhamini wao ni m 300 tuMfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata kutokuvaa au kutoweka mabango, BADO NI AINA YA KUITANGAZA GSMKwenye kikao kilichofanyika kati ya bodi ya ligi na vilabu 15 vya ligi kuu vimeafiki kuvaa nembo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu GSM .
Kwa maana hiyo Simba tu haitavaa hiyo nembo na pia mabango ya GSM hayatatikiwa kwenye mechi za Simba.
Kweli! sema haya mambo uswahili nao shida sana,sasa hii ligi TFF si kuna siku wataigawa kimatabaka au hili ni jambo la kawaida tu?Nadhani KCB hawakuegemea upande wowote, hakukuwa na mgongano wa maslahi baina ya timu na timu au/mwekezaji mmoja na mwingine.
We hujiulizi kwanini Azam TV anatoa mpunga mkubwa tu na Azam Fc inashiriki League hii hii lakini hapigiwi kelele...
Mkuu, sijajua kama nitakua naleta ubishani au itakua ni katika kujenga ufahamu wa kila mmoja wetu.Timu isiyovaa nembo ya mdhamini italipa faini ya m 10 kwa kila match itakayogoma kuvaa kwa match 3,baada ya hapo kama itaendelea kugoma itashushwa daraja,tunajua leo mmeleta kisingizio cha kuumwa baada ya bodi ya ligi kugoma kuyaondoa mabango ya mdhamini kule kagera mkaona mzushe mnaumwa,tunawasubiri game ijayo mtasingizia nini
Kweli! sema haya mambo uswahili nao shida sana,sasa hii ligi TFF si kuna siku wataigawa kimatabaka au hili ni jambo la kawaida tu?
hiyo Sheria ni kwa nembo ya mdhamini mkuu tu mkuuTimu isiyovaa nembo ya mdhamini italipa faini ya m 10 kwa kila match itakayogoma kuvaa kwa match 3,baada ya hapo kama itaendelea kugoma itashushwa daraja,tunajua leo mmeleta kisingizio cha kuumwa baada ya bodi ya ligi kugoma kuyaondoa mabango ya mdhamini kule kagera mkaona mzushe mnaumwa,tunawasubiri game ijayo mtasingizia nini
Kwani NBC ametoa kiasi ganiMfano
Bilioni 1 ya GSM iende moja kwa moja vilabu 16 ,
Ni sawa Tsh 62,500,000/-
Wakati Emirates Aluminium anailipa Simba Tsh 300,000,000/- kwa mwaka
Sasa ung'oe mdhamini wa milioni 300 uweke begani mdhamini wa milioni 62.5
Ni uchizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye aya ya mwisho hapo inapaswa kuwa "Simba hatavaa nembo, na pia mabango ya GSM hayatakiwi kwenye mechi ambazo Simba ni mwenyeji"Kwenye kikao kilichofanyika kati ya bodi ya ligi na vilabu 15 vya ligi kuu vimeafiki kuvaa nembo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu GSM .
Kwa maana hiyo Simba tu haitavaa hiyo nembo na pia mabango ya GSM hayatatikiwa kwenye mechi za Simba.
Waongeze hizo 300 milioni wampe Simba labda watawaweka nembo yao kwenye boxer [emoji16]Tofauti ya NBC na GSM kwenye udhamini wao ni m 300 tu
Tofauti ya NBC na GSM kwenye udhamini wao ni m 300 tu