RASMI - UEFA yaondoa sheria ya goli la ugenini

UEFA wamechemka kwa hili, walitakiwa waondeo goli la ugenini kwenye extra time tu
 
Kwa maana hiyo kusiwe na extra time au??

Hapana, away goals kwenye extra time huwa zinaumiza, mana timu moja hupata advantage kubwa.
Ila kwenye hali ya kawaida kuziondosha kutapunguza utamu wa mchezo kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…