Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Kipindi akiwa kwenye kampeni za kutafuta Urais mwaka 2024, Rais wa Marekani Donald Trump aliahidi kumaliza mgogoro kati ya Ukraine na Urusi
Mwezi takribani mmoja baada ya kuapishwa, tayari mazungumzo yameanza kufanyika ili vita hiyo iliyoanza rasmi mwaka 2022 imalizike
Jumanne ya leo Russia na Marekani walikutana Saudi Arabia ili kujadili namna watakavyoboresha mahusiano kati ya nchi hizo mbili pamoja na kumaliza vita vya Ukraine.
Mkutano huo, uliofanyika katika Ikulu ya Diriyah, Riyadh, ulihudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, na Waziri wa Russia, Sergey Lavrov.
Mazungumzo haya ni juhudi za serikali ya wa Trump kubadili sera ya Marekani dhidi ya Russia na ni mazungumzo muhimu kuandaa mkutano kati ya Trump na Putin.
Pamoja na mazungumzo hayo kuhusisha vita ya Ukraine hata hivyo, Ukraine haikushiriki, na Rais Volodymyr Zelenskyy amesema hatakubali matokeo ya mazungumzo hayo ikiwa Kyiv haitahusishwa.
Mazungumzo haya yanaashiria mwanzo mpya kati ya Marekani na Russia kwani mara ya mwisho nchi hizo kukaa kuzungumza ilikuwa ni miaka 3 iliyopita
Viongozi wa Ulaya pia wameonekana kukereketwa na kitendo cha kutokuhusishwa kwenye mazungumzo hayo ikiwemo Waziri wa Uingereza Keir Starmer ambaye siku chache zilizopita alitishia kupeleka Jeshi la Uingereza nchini Ukraine.
==========================================================
Senior officials from Russia and the U.S. met in Saudi Arabia on Tuesday to begin talks on improving ties and negotiating an end to the war in Ukraine.
Delegations led by U.S. Secretary of State Marco Rubio and Russian Foreign Minister Sergey Lavrov met at the Diriyah Palace in Riyadh. The meeting marks another pivotal step by the Trump administration to reverse U.S. policy on isolating Russia and is meant to pave the way for a meeting between U.S. President Donald Trump and Russian President Vladimir Putin.
Trump earlier this month upended U.S. policy toward Ukraine and Russia by saying he and Putin had agreed to begin negotiations on ending the war.
Ukrainian officials aren’t taking part in the meeting, and Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said Monday that his country won’t accept the outcome if Kyiv doesn’t take part.
Rubio was accompanied by U.S. national security adviser Mike Waltz and Special Envoy Steve Witkoff, while Lavrov sat next to the Kremlin’s foreign affairs adviser, Yuri Ushakov. Saudi Foreign Minister Faisal bin Farhan and national security adviser Musaed al Alban joined Rubio, Lavrov and others for the start of the meeting but were expected to leave early in the talk
Source: BBC, AP News