mimi ndiyo mtaalamu na majibu niliyokupa ndiyo hayo.Hili swali ni kwa learned brothers and sisters wanasheria sio wavuta bangi wa ufipa liko juu ya uwezo wako hili waache wataalamu waje wajibu
Sielewi mfano hapo Jaji anasema sema "SWEAR THAT " Muapaji anachenga anasema " AFFIRM THAT" hatamki Jaji alichosema anatunga maneno yake na Jaji kakausha!!!! hicho kinakuwa sio kiapo kile cha jaji,Muapaji katunga kiapo chake hapo je ni sahihi?INATEGEMEA AMEAMKAJE mh. Jaji siku hio.
Hili swali ni kwa learned brothers and sisters wanasheria sio wavuta bangi wa ufipa liko juu ya uwezo wako hili waache wataalamu waje wajibu
Sielewi mfano hapo Jaji anasema sema "SWEAR THAT " Muapaji anachenga anasema " AFFIRM THAT" hatamki Jaji alichosema anatunga maneno yake na Jaji kakausha!!!! hicho kinakuwa sio kiapo kile cha jaji,Muapaji katunga kiapo chake hapo je ni sahihi?
Kwani amesaini kiapo gani?Sielewi mfano hapo Jaji anasema sema "SWEAR THAT " Muapaji anachenga anasema " AFFIRM THAT" hatamki Jaji alichosema anatunga maneno yake na Jaji kakausha!!!! hicho kinakuwa sio kiapo kile cha jaji,Muapaji katunga kiapo chake hapo je ni sahihi?
hakusema naapa alisema I AFFIRM hakusema I SWEAR!! Rudia kusikiliza la kuapa hajatamka!!Kama kwenye kiapo katamka "naapa kuitunza na kuiheshimu katiba ya malawi" mi nadhani hamna shida kabisa. Maana nao nadhani serikali yao haina dini