Rasta ateuliwa Mwanasheria Mkuu wa Malawi aapishwa, baadhi ya maneno kwenye kiapo agoma kuyatamka. Jaji amsainisha kiapo. Je, ni sahihi kisheria?

Bora wangemwapisha kwa imani yake tena ndio angezidi kuwa mzalendo na mwaminifu
 
Mnasema serikali haina dini sasa hivyo viapo vya nini matokeo yake inaleta mkanganyiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…