Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Rasta mashuhuri hapa nchi Mrisho Mpoto mapema wiki hii amebambwa akiwa nyuma ya kiosk kimoja maeneo ya Posta akiwa anakunywa stone tangawizi huku akiudanganya utumbo kwa Sambusa za NYAMA.
Mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa pamoja na mjomba kusimama ktk imani za Rasta za kutokula nyama lakini yeye mara kadhaa amekutwa akigonga vitoweo mbalimbali vikiweno FIRIGISI, PWEZA na mara kadhaa amekutwa akiwa kakumbatia bakuli la supu ya UTUMBO.
''yule nyie hamumjui, yule ana uchu wa nyama kama nini...kwani ile ndo mara yale ya kwanza?''....
Alisikika Dada mmoja ambaye hakuonyesha kushtushwa na uroho wa Mjomba.