Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Rasta mashuhuri hapa nchi Mrisho Mpoto mapema wiki hii amebambwa akiwa nyuma ya kiosk kimoja maeneo ya Posta akiwa anakunywa stone tangawizi huku akiudanganya utumbo kwa Sambusa za NYAMA.
Mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa pamoja na mjomba kusimama ktk imani za Rasta za kutokula nyama lakini yeye mara kadhaa amekutwa akigonga vitoweo mbalimbali vikiweno FIRIGISI, PWEZA na mara kadhaa amekutwa akiwa kakumbatia bakuli la supu ya UTUMBO.
''yule nyie hamumjui, yule ana uchu wa nyama kama nini...kwani ile ndo mara yale ya kwanza?''....
Alisikika Dada mmoja ambaye hakuonyesha kushtushwa na uroho wa Mjomba.
udaku!rasta mashuhuri hapa nchi mrisho mpoto mapema wiki hii amebambwa akiwa nyuma ya kiosk kimoja maeneo ya posta akiwa anakunywa stone tangawizi huku akiudanganya utumbo kwa sambusa za nyama.
Mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa pamoja na mjomba kusimama ktk imani za rasta za kutokula nyama lakini yeye mara kadhaa amekutwa akigonga vitoweo mbalimbali vikiweno firigisi, pweza na mara kadhaa amekutwa akiwa kakumbatia bakuli la supu ya utumbo.
''yule nyie hamumjui, yule ana uchu wa nyama kama nini...kwani ile ndo mara yale ya kwanza?''....
Alisikika dada mmoja ambaye hakuonyesha kushtushwa na uroho wa mjomba.
Rasta mashuhuri hapa nchi Mrisho Mpoto mapema wiki hii amebambwa akiwa nyuma ya kiosk kimoja maeneo ya Posta akiwa anakunywa stone tangawizi huku akiudanganya utumbo kwa Sambusa za NYAMA.
Mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa pamoja na mjomba kusimama ktk imani za Rasta za kutokula nyama lakini yeye mara kadhaa amekutwa akigonga vitoweo mbalimbali vikiweno FIRIGISI, PWEZA na mara kadhaa amekutwa akiwa kakumbatia bakuli la supu ya UTUMBO.
''yule nyie hamumjui, yule ana uchu wa nyama kama nini...kwani ile ndo mara yale ya kwanza?''....
Alisikika Dada mmoja ambaye hakuonyesha kushtushwa na uroho wa Mjomba.
Kaka umekosa cha kuandika! mwache Mtu wa watu ajinome minyama wewe kumekuuma nini? au unaona anakumalizia nyama
Rasta mashuhuri hapa nchi Mrisho Mpoto mapema wiki hii amebambwa akiwa nyuma ya kiosk kimoja maeneo ya Posta akiwa anakunywa stone tangawizi huku akiudanganya utumbo kwa Sambusa za NYAMA.
Mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa pamoja na mjomba kusimama ktk imani za Rasta za kutokula nyama lakini yeye mara kadhaa amekutwa akigonga vitoweo mbalimbali vikiweno FIRIGISI, PWEZA na mara kadhaa amekutwa akiwa kakumbatia bakuli la supu ya UTUMBO.
''yule nyie hamumjui, yule ana uchu wa nyama kama nini...kwani ile ndo mara yale ya kwanza?''....
Alisikika Dada mmoja ambaye hakuonyesha kushtushwa na uroho wa Mjomba.
Hamna udaku. Kwa nini udanganye kuwa huli nyama halafu huko machakani majiani wajipinda?? Shurti watu wawe wanasimamia wanayoyasema pamoja na kwamba haikuwalazimu kujiapiza mbele za wanajamii.
Quite right. Kuwa na nywele za kirasta siyo sawa na kuwa na imani za kirasta. Kwa watu wengine ni fashion au identity statement. Umekosa cha kuongea si unyamaze tu.Kala nyama, so what....guys find some more important things to bring to the jamvi.....