Rastom aidhamini Yanga kupitia Taifa Gas

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Bilionea Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa Gas ameingia kuidhamini klabu ya Yanga.
Kampuni hiyo inatarajiwa kutangazwa Leo kwenye sherehe za kilele Cha wiki ya wananchi itakayofanyika uwanja wa Taifa
Taifa Gas itakuwa kwenye mikoni ya jezi za Yanga
 
Ngojeni Muone Yanga Watalia Sasa Hivi
Yaani Foul Tayari Zinachezwa Eneo Hatari Sana
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Mbona serikali inaingia mikataba ya Siri hamuijui na Bado mnaishabikia acheni unafki[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu hata siku moja adui hawezi kukuombea neema!!!
 
Hii ndo ile Taifa Gas ambayo aliiuza au ?
 
Hongera Yanga, hongera Rostam, ila swali langu ni je, huu udhamini ndio ile pesa ulisema utachangia? Au kuna mchango na ya udhamini mbalimbali ??
Atakuwa anadhamini chakula cha wachezaji
 
Hapo mzee akilimali anajipanga,,sasa hivi ataamsha mwenge,labda wamuwai na akaunt ya chapchap akaunti ya crdb,
Yupo kwenye lile jengo pendwa anacheza bao yaani hata upepo ukipita anageuka teh teh hapa hazulumiwi mtu
 
Mbona serikali inaingia mikataba ya Siri hamuijui na Bado mnaishabikia acheni unafki[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Sijawai shabikia mkataba wa serikali alafu yanga mnatama muwe kama simba ila mnashindwa mtafanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…