Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, mkuu mbn unatudanganya mchana kweupe? Tukizungumzia gross salary ni mshahara ulioandikwa kwenye mkataba na ni ambao haujafanyiwa makato yoyote. Baada ya kodi pamoja na bima ndio unabaki na net salary au wengine wanasema take home. So net salary ni baada ya makato na gross ni before makato, upo?