ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Heshima kwenu,
Sijajua kama ni tatizo au vipi, lakini nimegundua nywele zangu za makwapwani hazikui kabisa. Kifupi sijawahi kuzinyoa tangu nibalehe kwa sababu ni vidogovidogo sana ndo vimechomoza.
Za sehem nyingine kama za siri hazina matatizo na nimeendelea kuzipunguza kwa kuzinyoa siku hadi siku, tatizo ni za kwenye kwapa pekee.
Je, inawezekana na genetics problem? Au nisiwe na wasiwasi? Age yangu ni 23.
Asanten mno