Rate ya nywele za kwapani kuota ni ndogo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Heshima kwenu,

Sijajua kama ni tatizo au vipi, lakini nimegundua nywele zangu za makwapwani hazikui kabisa. Kifupi sijawahi kuzinyoa tangu nibalehe kwa sababu ni vidogovidogo sana ndo vimechomoza.

Za sehem nyingine kama za siri hazina matatizo na nimeendelea kuzipunguza kwa kuzinyoa siku hadi siku, tatizo ni za kwenye kwapa pekee.

Je, inawezekana na genetics problem? Au nisiwe na wasiwasi? Age yangu ni 23.

Asanten mno
 
Hiyo minywele ya kwapa unaitaka ufuge rasta???
As long as sehemu ile nyingine zipo za kutosha basi your ok...

Ila kwa uhakika zaidi (wa homoni zako) nenda hospitali
 
Hiyo minywele ya kwapa unaitaka ufuge rasta???
As long as sehemu ile nyingine zipo za kutosha basi your ok...

Ila kwa uhakika zaidi (wa homoni zako) nenda hospitali

Hivi homini zina uhusiano wowote na nywele za kwapani?, mi naona kila sex ina hizo nywele, labda ndevu ndio zinaweza kuwa issue ya homoni

anyway ngoja tusubiri matabibu watudadavulie uzuri
 
Hivi homini zina uhusiano wowote na nywele za kwapani?, mi naona kila sex ina hizo nywele, labda ndevu ndio zinaweza kuwa issue ya homoni

anyway ngoja tusubiri matabibu watudadavulie uzuri
hormones bring about secondary sex characteristics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…