Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika katika Mkutano wake na wana habari uliofanyika makao makuu ya Chadema .
Amesema Makongamano ya ndani ni haki ya kikatiba ya vyama vya siasa , hivyo hawana sababu ya kuyasitisha .
Ushahidi wangu : Kauli ya Msemaji wa Jeshi la polisi ilidai kwamba Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya kongamano la Katiba mpya , bali alikamatwa kwa tuhuma za ugaidi na kupanga njama ya kuua viongozi wa serikali . Kumbe Kongamano lile la Katiba mpya halikuwa na shida yoyote .
Mungu ibariki Chadema