Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika katika Mkutano wake na wana habari uliofanyika makao makuu ya Chadema .
Amesema Makongamano ya ndani ni haki ya kikatiba ya vyama vya siasa , hivyo hawana sababu ya kuyasitisha .
Ushahidi wangu : Kauli ya Msemaji wa Jeshi la polisi ilidai kwamba Mbowe hakukamatwa kwa sababu ya kongamano la Katiba mpya , bali alikamatwa kwa tuhuma za ugaidi na kupanga njama ya kuua viongozi wa serikali . Kumbe Kongamano lile la Katiba mpya halikuwa na shida yoyote .
Nilitaka Chadema waje na plan A+ kuendeleza mapambano ya Katiba Mpya na Tume Huru, vizuri wamekuja na hiyo mbinu, Mbowe kuonewa gerezani isiwe sababu ya kusimamisha mipango iliyokuwepo, nione na polisi watakuja na story gani ya kutunga this time.