Ratiba Nzima Ya Qatar FIFA World Cup 2022

Hivi kwa TZ tutautazama kupitia channel gani ukiondoa wenye king'amuzi cha DSTV??
 
Hapa kwenye 2012-2014!!???
 
Kifupi sisi na Doha, Qatari hatujapishana masaa. Tuko kweny the same timezone
 
Kuna watu wakianzisha uzi maalumu wanajua kuutendea haki kama huyo uliomtag na @FORTALEZA unakuta kuna photos nyingi ,historia kwa mbali , facts and updates
Leo nimepiga msako mkali nimenyaka @FORTALEZA nashangaa kila nikimtag hatagiki nikaseach comments yake ya zamani walipomtag kabla hajachange me kuclik kaja Greatest Of All Time

Nimeshangaa kukuta ndio yeye kila siku anatuchora tu
 
Hlf mzee huu mda wako sidhan kama ni East Africa Time iyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…