Ratiba Nzima Ya Qatar FIFA World Cup 2022

Haya sasa England waanze airtime shamrashamra na mbwembwe kwenye media zote za kimataifa kama kawaida yao.
 
Ivi kwann China haifuzugi fifa world cup
Mara ya mwisho kushiriki hawa ilikuwa 2002 nadhani carlos alipiga free kick shuti wachina wote wakainama mpaka goli naona wameamua isiwe kesi wabaki wapenzi watazamaji tu 😃
 

Virago-vilago mnaudhi sana nyie
Anyway vivyo hivyo kwa Italy alichukua 2006 pale Nchini German msimu uliofuata akatolewa makundi pale SA [emoji23][emoji23]
 
acha kukalili mambo mbona Brazil 2002 alibeba ila 2006 akafika Robo fainali France hawez tokea makundi Wala 16 Bora
 
Waafrika watutoe kimasomaso wanangu was senego, Morocco, Tunisia, Ghana, Cameroon mkagangamale huko aibu za kuishia group stage tumezichoka
 
Waafrika watutoe kimasomaso wanangu was senego, Morocco, Tunisia, Ghana, Cameroon mkagangamale huko aibu za kuishia group stage tumezichoka
Waafrika wenzetu wanaotuwakilisha vema ni ufaransa tu 😃 hawa wengine wakifika huko wanalegea kama mlenda
 
ungebadilisha muda kuwajali walaji wa JF. EST

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…