Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Ratiba ya ccm ipo mkononi hapa inasema tarehe 21 na 22 mwezi huu wagombea kuchukua na kurudisha fomu.
Tarehe 23 kupiga kura kwa wanachama katika matawi(kura za maoni)
Tarehe 24 kamati ya siasa tawi kujadili wagombea, tarehe 25 kata na 26 wilaya kujadili wagombea.
Swali nini maana ya kuanza kupiga kura kabla ya wagombea kuchujwa?
Vipi imani ya wanachama kama mgombea waliomchagua akakatwa jina mbele ya kamati zitakazokalia?
Naomba kuelewesha.