Frustration JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,134 Reaction score 4,124 Oct 20, 2024 #1 Ratiba ya ccm ipo mkononi hapa inasema tarehe 21 na 22 mwezi huu wagombea kuchukua na kurudisha fomu. Tarehe 23 kupiga kura kwa wanachama katika matawi(kura za maoni) Tarehe 24 kamati ya siasa tawi kujadili wagombea, tarehe 25 kata na 26 wilaya kujadili wagombea. Swali nini maana ya kuanza kupiga kura kabla ya wagombea kuchujwa? Vipi imani ya wanachama kama mgombea waliomchagua akakatwa jina mbele ya kamati zitakazokalia? Naomba kuelewesha.
Ratiba ya ccm ipo mkononi hapa inasema tarehe 21 na 22 mwezi huu wagombea kuchukua na kurudisha fomu. Tarehe 23 kupiga kura kwa wanachama katika matawi(kura za maoni) Tarehe 24 kamati ya siasa tawi kujadili wagombea, tarehe 25 kata na 26 wilaya kujadili wagombea. Swali nini maana ya kuanza kupiga kura kabla ya wagombea kuchujwa? Vipi imani ya wanachama kama mgombea waliomchagua akakatwa jina mbele ya kamati zitakazokalia? Naomba kuelewesha.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Oct 20, 2024 #2 Ni jambo jema
Mlayjr JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 525 Reaction score 307 Oct 20, 2024 #3 Kura za maruhani
I IQup JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 1,166 Reaction score 1,808 Oct 20, 2024 #4 hata wakijadiliwa hadi ikulu bado UIZI Hawataacha, UONGO Hawataacha, DHURMA Hawataacha, UNAFKI Hawataacha, kifupi hawana jipya haloo!!. Wala haina haja ya kujadiliwa au kwakuwa wanajigawia maposho kwenye kumjadili mgombea waache waendelee na upigaji
hata wakijadiliwa hadi ikulu bado UIZI Hawataacha, UONGO Hawataacha, DHURMA Hawataacha, UNAFKI Hawataacha, kifupi hawana jipya haloo!!. Wala haina haja ya kujadiliwa au kwakuwa wanajigawia maposho kwenye kumjadili mgombea waache waendelee na upigaji